Nenda kwa yaliyomo

Alberta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alberta

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Kanada Kanada
Mji mkuu Calgary
Eneo
 - Jumla 661,848 km²
Tovuti:  http://www.alberta.ca/
Calgary , Alberta

Alberta ni jimbo la Kanada upande wa magharibi ya nchi. Imekuwa jimbo la Kanada tangu 1905.

Ina eneo la km² 661,848. Imepakana na Northwest Territories, Saskatchewan, Marekani (Montana) na British Kolumbia.

Kunako mwaka wa 2009, idadi ya wakazi ilikuwa 3,632,483.

Mji mkuu ni Edmonton na mji mkubwa ni Calgary.

Lugha rasmi ni Kiingereza.

Miji Mikubwa[hariri | hariri chanzo]

  1. Calgary (991,759)
  2. Edmonton (712,391)
  3. Red Deer (82,971)
  4. Lethbridge (78,713)

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Alberta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.