Nenda kwa yaliyomo

Edmonton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Edmonton
Jiji
Nchi Kanada
Jimbo Alberta
Serikali
Meya Amarjeet Sohi
Meneja wa Jiji Eddie Robar
Utaifa M-Edomonton (en: Edmontonian)
Eneo
Jumla 765.61 km²
Idadi ya watu
Jumla 1,128,811
Msongamano 1,320.4/km²/km²
Pato la Taifa
Jumla (2020) $87.48 bilioni CAD
HDI (2019) 0.922 juu sana ()
Eneo la saa UTC−07:00 (MST)
Tovuti: edmonton.ca

Edmonton ndiyo mji mkuu na mji mkubwa wa kwanza katika mkoa la Alberta, upande wa kati ya mkoa huu. Idadi ya wakazi ni 730,372 na eneo lake ni 684.37 m. Umbali na Calgary ni 277 km.

Mji ulianzishwa mwaka 1795.


Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Edmonton kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.