Saskatchewan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Saskatchewan

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Kanada Kanada
Mji mkuu Regina
Eneo
 - Jumla 651,900 km²
Tovuti:  http://www.sk.ca/
Hospitali ya Royal University ipatikanayo ndani ya jimbo la Saskatchewan

Saskatchewan ni jimbo la Kanada. Una eneo la 651,900 km². Kunako mwaka wa 2009, idadi ya wakazi ilikuwa 1,023,810.

Mji mkuu ni Regina na mji mkubwa ni Saskatoon. Jimbo umepakana na Northwest Territories, Nunavut, Manitoba, Montana, North Dakota na Alberta.

Saskatchewan ni hasa jimbo la kilimo cha ngano pamoja na mafuta ya petroli.

Lugha rasmi ni Kiingereza.

Gavana wa jimbo ni Gordon Barnhart.

Miji Mikubwa[hariri | hariri chanzo]

  1. Saskatoon (202,340)
  2. Regina (179,246)
  3. Prince Albert (34,138)
  4. Moose Jaw (32,132)


Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]Flag Canadian template.gif Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Saskatchewan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.