Regina, Saskatchewan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Regina, Saskatchewan


Regina
Nchi Kanada
Jimbo Saskatchewan
Wilaya Sherwood Rural Municipality Number 159
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 179,246
Tovuti:  www.regina.ca/

Regina ndiyo mji mkuu katika jimbo wa Saskatchewan. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 200,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 577 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Regina, Saskatchewan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.