Nenda kwa yaliyomo

Saskatoon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu za Mji wa Saskatoon



Saskatoon
Nchi Kanada
Mkoa Saskatchewan
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 202,340
Tovuti:  / www.saskatoon.ca

Saskatoon (Kikree: sâskwatôn) ni mji mkubwa wa kwanza katika mkoa la Saskatchewan na mji mkubwa wa kumi na saba katika Kanada. Mwaka 2005 ilikuwa na wakazi 202,340 mjini, pamoja na mitaa ya jirani rundiko la mji lina wakazi 233,923. Eneo lake ni 144 km². Mji upo m 481.5 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Jina la Saskatoon ni ya Kikree maana yake ni karibu tunda la mti wa Saskatoon.

Mji ulinazishwa mwaka 1883.

Saskatoon ni kusoma nyota



Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Saskatoon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.