Nenda kwa yaliyomo

Yellowknife

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Yellowknife
Nchi Kanada
Eneo Northwest Territories
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 18,700
Tovuti:  www.yellowknife.ca

Yellowknife ndiyo mji mkuu wa eneo wa Northwest Territories katika Kanada. Kuna wakazi 18,700 (2006). Eneo lake ni 84.5 km².

Mji ulianzishwa 1936/1937.

Taa kaskazini
Makao makuu ya RCMP
Yellowknife katika Northwest Territories


Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Yellowknife kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.