Tbilisi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mahali pa Tbilisi nchini Georgia
Kitovu cha Tbilisi

Tbilisi (pia: Tiflis; Kigeorgia თბილისი ) ni mji mkuu wa Georgia. Iko kando la mto Kura (Mtkvari) kwa 41°43′N 44°47′E kwenye kimo cha 380 hadi 727 m juu ya UB.

Jiji lina wakazi milioni 1.345.

BlankAsia.png Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tbilisi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.