Nenda kwa yaliyomo

James Stewart

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Taswira ya James Stewart.

James Maitland Stewart (20 Mei 1908 - 2 Julai 1997) alikuwa mwigizaji maarufu wa filamu kutoka nchini Marekani. James Stewart, anayejulikana pia kama Jimmy Stewart, alizaliwa Indiana, Pennsylvania. Jimmy ni uzao uliuotokana na familia ya wafanyabiashara. Aliitwa bingwa wa kila uhusika.

Stewart alishinda Tuzo ya Academy kama Mwigizaji Bora kwa kazi yake katika filamu ya The Philadelphia Story (1940). Filamu zake nyingine maarufu ni pamoja na Mr. Smith Goes to Washington (1939), It’s a Wonderful Life (1946), Rear Window (1954), Vertigo (1958), na The Man Who Shot Liberty Valance (1962).

Bibliografia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:


Makala hii ni sehemu ya mradi wa kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza habari.