Kareem Abdul-Jabbar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Abdul-Jabbar mwaka 2014
Abdul-Jabbar mwaka 2014

Kareem Abdul-Jabbar alizaliwa Aprili 16 1947, ni mchezaji wa zamani wa mpira wa kikapu aliyecheza misimu 20 kwenye Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani cha Marekani NBA. Aliwahi kuvunja rekodi ya kuwa mchezaji mwenye thamani mara 6. Alichukuliwa kama mchezaji bora wa muda wote[1][2]. Baada ya kumaliza kazi ya michezi aliendelea kutunga vitabu hasa kuhusu historia ya Wamarekani Weusi.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "All-Time #NBArank: Kareem Abdul-Jabbar at No. 2". ESPN.com (kwa Kiingereza). 2016-02-10. Iliwekwa mnamo 2022-09-09. 
  2. "The 30 Best NBA Players of All Time, Ranked". Complex (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-09-09. 
  3. William C. Rhoden (2017-06-14). "Locker Room Talk: Abdul-Jabbar is the best basketball player ever — period". Andscape (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-09-09.