American Broadcasting Company

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya ABC Televisheni.

ABC (jina kamili: American Broadcasting Company) ni mtandao wa televisheni nchini Marekani. Moja kati ya mitandao mingine wanayomiliki ni pamoja na CBS, NBC, na FOX. Ni mitandao minne mikubwa ya televisheni iliyo katika nchi moja. Mitandao inamilikiwa na Kampuni ya Walt Disney.

Vipindi[hariri | hariri chanzo]

  • ABC News
  • Good Morning America
  • World News with Charles Gibson
  • Nightline
  • 20/20
  • Academy Awards
  • America's Funniest Home Videos
  • All My Children
  • Dancing with the Stars
  • General Hospital
  • Grey's Anatomy
  • Monday Night Football (ESPN on ABC)
  • Lost
  • One Life to Live

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu American Broadcasting Company kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.