The Lord of the Rings

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

The Lord of the Rings ni filamu iliyobuniwa na Peter Jackson katika sehemu tatu. Filamu inafuata sehemu tatu za riwaya ya bunilizi ya kinjozi ya J.R.R. Tolkien, Bwana wa Mapete.

Emoji u1f4fd.svg Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu The Lord of the Rings kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.