John Knox

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
John Knox alivyochorwa mwaka 1572.

John Knox (1513 hivi – 24 Novemba 1572) alikuwa Mskoti mwenye akili kali, mwanateolojia, na mwandishi ambaye alikuwa kiongozi wa madhehebu ya Wapresbiteri yaliyoenea nchini Uskoti katika karne ya 16.

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Knox kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.