Shetani wa Tasmania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Shetani wa Tasmania
Shetani wa Tasmania (Sarcophilus harrisii)
Shetani wa Tasmania (Sarcophilus harrisii)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata
Nusufaila: Vertebrata
Ngeli: Mammalia
Ngeli ya chini: Marsupialia
Oda: Dasyuromorphia
Familia: Dasyuridae
Jenasi: Sarcophilus
Spishi: Sarcophilus harrisii

Shetani wa Tasmania (kutoka Kiing.: Tasmanian devil, Kisayansi: Sarcophilus harrisii) ni spishi ya marsupialia wa Tasmania mwenye manyoya meusi.


Ramani inaonyesha maeneo yaliyokaliwa na shetani wa Tasmania (kijivu)
WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Shetani wa Tasmania" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili Tasmanian devil kutoka kwa lugha ya Kiingereza. Neno (au maneno) la jaribio ni shetani wa Tasmania.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.