Shetani wa Tasmania
Mandhari
(Elekezwa kutoka Sarcophilus harrisii)
Shetani wa Tasmania | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Shetani wa Tasmania (Sarcophilus harrisii)
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||||
Nususpishi 2:
| ||||||||||||||||||
Msambazo wa shetani wa Tasmania
|
Shetani wa Tasmania (kutoka Kiing.: Tasmanian devil, Kisayansi: Sarcophilus harrisii) ni mnyama wa Marsupialia wa Tasmania mwenye manyoya meusi ambaye anapatikana katika maeneo ya porini ya kisiwa cha Australia kwenye makao ya Tasmania ikiwemo kisiwa kidogo cha Maria ambapo kuna mpango wa utunzaji wa wanyama wasio na magonjwa.
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shetani wa Tasmania kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |