Kwolu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kwolu
Kwolu-madoa (Dasyurus maculatus)
Kwolu-madoa (Dasyurus maculatus)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata
Nusufaila: Vertebrata
Ngeli: Mammalia
Ngeli ya chini: Marsupialia
Oda: Dasyuromorphia
Familia: Dasyuridae
Jenasi: Dasyurus

Kwolu (kutoka Kiing.: quoll, Kisayansi: Dasyurus) ni spishi ya marsupialia wafananao na paka wa Australia na Tasmania mwenye madoa meupe.

Spishi[hariri | hariri chanzo]

WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Kwolu" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili quoll kutoka kwa lugha ya Kiingereza. Neno (au maneno) la jaribio ni kwolu.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.