Riba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bango la benki nchini Malawi likionyesha viwango vya riba.

Riba ni malipo ya ziada toka kwa mkopaji wa fedha kwa mkopeshaji au mapato ya ziada wa akiba mtu aliyoweka benki.

Malipo hayo ni tofauti na ada ambayo mkopaji anaweza kutakiwa kumlipa mkopeshaji.

ThreeCoins.svg Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Riba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.