Niels Bohr

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tuzo Nobel.png
Niels Bohr (kushoto) pamoja na Albert Einstein 1925 walivyopigiwa picha na Paul Ehrenfest
Niels Bohr

Niels Henrik David Bohr (7 Oktoba 188518 Novemba 1962) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Denmark. Hasa alichunguza nadharia za atomu na kwanta. Mwaka wa 1922 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Mwana wake ni mwanafizikia Aage Bohr.

Tangu 1997 elementi sintetiki ya Bohri imepewa jina lake kwa heshima ya Niels Bohr.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Niels Bohr kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.