Nenda kwa yaliyomo

Aage Bohr

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Aage Bohr
Aage Niels Bohr (1963)
Amezaliwa28 Februari 1922
Kazi yakemwanafizikia kutoka nchi ya Denmark


Aage Niels Bohr (amezaliwa 28 Februari 1922) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Denmark. Baba yake ni Niels Bohr. Aage hasa alichunguza nadharia ya atomu. Mwaka wa 1975, pamoja na James Rainwater na Ben Mottelson alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aage Bohr kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.