Bohri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Bohri
Jina la Elementi Bohri
Alama Bh
Namba atomia 107
Mfululizo safu metali ya mpito
Uzani atomia 262,1229 u
Valensi 2, 8, 18, 32, 32, 13, 2
Ugumu (Mohs) {{{ugumu}}}
Asilimia za ganda la dunia 0
Niels Bohr

Bohri (pia: Bori) ni elementi sintetiki yenye namba atomia 107 kwenye mfumo radidia. Imepewa jina lake kwa heshima ya mwanafizikia Niels Bohr.

Ni nururifu sana na hadi sasa haina matumizi nje ya utafiti wa kisayansi kutokana nusumaisha yake mafupi mno ambayo ni sekunde 61 tu kwa isotopi yake imara zaidi Bh-270 lakini isotopi nyingine zina nusumaisha mafupi tena.


Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bohri kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.