Valensi
Mandhari
Oksijeni huwa na valensi mara 2 ya hidrojeni, kwa hiyo molekuli ya maji H2O inahitaji atomu za hidrojeni mara mbili kuliko atomu za oksijeni
Valensi (kwa Kiingereza: valency au valence) ni istilahi ya kemia inayotaja nguvu ya atomu ya kuunda muungo kemia na atomu nyingine. Inataja idadi ya miungo inayoweza kuundwa baina ya atomu ya elementi fulani pamoja na hidrojeni (iliyo elementi sahili zaidi).
Tovuti nyingine
[hariri | hariri chanzo]- "Valence" Ilihifadhiwa 24 Agosti 2009 kwenye Wayback Machine. kutoka Kitabu cha Dhahabu cha IUPAC (faili la PDF)
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Valensi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |