Xi Jinping
Mandhari
Xi Jinping (kwa Kichina kilichorahisishwa: 习近平; Kichina cha jadi: 習近平; amezaliwa 15 Juni 1953) ni mwanasiasa wa China ambaye amewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Tume Kuu ya Jeshi (CMC) tangu mwaka 2012, na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China (PRC) tangu mwaka 2013.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Xi Jinping kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |