Panda Mkubwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Panda Mkubwa

Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Caniformia (Wanyama kama mbwa)
Familia: Ursidae (Wanyama walio na mnasaba na dubu)
Nusufamilia: Ailuropodinae (Wanyama wanaofanana na panda mkubwa)
Jenasi: Ailuropoda
Spishi: A. melanoleuca
(David, 1869)
Ngazi za chini

Nususpishi 2:

Msambao wa panda mkubwa (kijani)
Msambao wa panda mkubwa (kijani)

Panda mkubwa (kutoka Kiing.: giant panda, Kisayansi: Ailuropoda melanoleuca) ni dubu mkubwa kiasi wa Uchina aliye mweusi na mweupe.

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Panda Mkubwa kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu "Panda Mkubwa" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili giant panda kutoka lugha ya Kiingereza. Neno (au maneno) la jaribio ni panda mkubwa.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.