Victor Vasarely

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Victor Vasarely.

Vásárhelyi Győző (maarufu kama Victor Vasarely; (Pécs, Hungaria, 9 Aprili 1908 - Paris, Ufaransa, 15 Machi 1997) alikuwa mchoraji wa Hungaria. Yeye alinunua op art. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.nytimes.com/1997/03/18/arts/victor-vasarely-op-art-patriarch-dies-at-90.html