Port Louis
Mandhari
Jiji la Port Louis | |
Nchi | Morisi |
---|
Port Louis ni mji mkuu wa jamhuri ya Morisi. Ikiwa na wakazi 170,000 ni mji mkubwa wa taifa hili la visiwani katika Bahari Hindi.
Kiwanja cha ndege cha kimataifacha Sir Seewoosagur Ramgoolam kipo 30 km kusini ya mji. Kutoka Port Louis kuna feri kwenda Saint Denis mji mkuu wa Réunion.
Kuna viwanda vya nguo na vitambaa pia vya kemikali na madawa. Benki ziko nyingi. Kwa jumla Port Louis ni mji wa Afrika ambako wenyeji wana hali ya maisha iliyo juu kushinda miji mingine ya Afrika.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- [1] Ilihifadhiwa 13 Agosti 2007 kwenye Wayback Machine.