Nyanda za Juu za Guyana
.
Guiana Shield | |
Region | |
Countries | French Guiana, Suriname, Guyana, Brazil, Venezuela, Colombia |
---|---|
Continent | South America |
Region | northern South America |
Length | 2,000 km (1,243 mi), E-W |
Width | 1,000 km (621 mi), N-S |
Area | 2,288,000 km² (883,402 sq<span typeof="mw:Entity"> </span>mi) |
Period | Precambrian |
Nyanda za Juu za Guyana
|
Nyanda za juu za Guyana (kwa Kiingereza: Guiana Shield) ni eneo la milima kaskazini mashariki mwa Amerika ya Kusini. Kijiolojia ni miamba ya kale sana inayofanya hapa sehemu ya pwani ya kaskazini ya Amerika Kusini. [1]
Kati ya milima ya sehemu hizi kuna milima ya meza inayoitwa hapa tepuis.
Majina
[hariri | hariri chanzo]Nyanda za juu za Guiana zinajulikana katika lugha nyingine za mazingira kama:
- Kifaransa: Plateau des Guyanes au Bouclier guyanais;
- Kiholanzi: Hoogland van Guyana
- Kihispania: Escudo guayanés au Macizo Guayanés;
- Kireno: Planalto das Guianas or Escudo Guianês.
Guyana hutumiwa wakati mwingine kama jina la pamoja kwa Guyana, Surinam na Guyani ya Kifaransa; wakati wa ukoloni nchi hizi tatu ziliitwa Guyana ya Kiingereza, ya Kiholanzi na ya Kifaransa.
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Kijiografia nyanda za juu hizi zinaenea hadi ndani ya Kolombia, Venezuela na Brazil.
- Kolombia magharibi (Wilaya ya Guainía);
- Venezuela, ambapo mto Orinoco hufanya kikomo cha kaskazini.
- Guyana;
- Suriname;
- Guyani ya Kifaransa, ambayo ni eneo la ng'ambo la Ufaransa;
- Brazil kaskazini, (Roraima, Pará na mkoa wa Amapá) katika kanda la Kaskazini.
Milima
[hariri | hariri chanzo]Nyanda za juu za Guiana huundwa kwa tambarare ndogo za juu na safu za mlima. Milima mirefu zaidi inapatikana upande wa magharibi, kuanzia Venezuela.
Mito na maporomoko ya maji
[hariri | hariri chanzo]Mito mingi huanzia kwenye nyanda za juu za Guyana na nyingi hutiririkia kaskazini, kuingia Bahari ya Atlantiki. Baadhi yake ni:
- Mto Orinoco
- Essequibo, mto mkuu wa Guyana;
- Courantyne, mto mrefu zaidi wa Suriname;
- Mto Maroni ambao huunda mpaka kati ya Guyani ya Kifaransa na Suriname;
- Mto Oyapock ambao hufanya mpaka kati ya Guyani ya Kifaransa na Brazil.
Picha
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ David S. Hammond, mhr. (2005). "1 Ancient Land in a Modern World". Tropical Forests of the Guiana Shield (PDF). CAB International. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2017.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Nyanda za Juu za Guyana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |