Mlima wa Meza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mlima wa Meza huko Cape Town

Mlima wa Meza ni mlima yenye sehemu ya tambarare juu na mtelemko mkali upande.

Mlima wa Meza unaojulikana zaidi ni ule wa Cape Town (Afrika Kusini). Lakini umbo hili linapatikana sehemu nyingi duniani.

Asili yake ni volkeno ilijitokeza chini ya barafuto. Kama kutokea kwa volkeno kunaendelea bila shindikizo mno yaani bila mlipuko, basi zaha (lava) yake huyeyusha barafu ya barafuto kuwa maji. Maji yapoza zaha haraka na kusababisha umbo la pekee la mlima unaokua.