Nenda kwa yaliyomo

Mto Songhua

Majiranukta: 46°52′05″N 130°27′47″E / 46.86806°N 130.46306°E / 46.86806; 130.46306
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Angani ya Mto Songhua


Mto Songhua
Mahali pa Songhua nchini China
Chanzo Milima ya Changbai
Mdomo Mto Amur
Urefu km 1927
Kimo cha chanzo m
Mkondo m3
Eneo la beseni km2 557,180
Miji mikubwa kando lake Harbin, Jilin, Songyuan, Jiamusi

Mto Songhua (kwa Kirusi: Сунгари, Sungari) ni kati ya mito mikubwa nchini China, pia ni tawimto kubwa la Amur. Songhua ina njia ya km 1,927 kutoka Milima ya Changbai iliyopo kwenye mpaka wa China na Korea Kaskazini kupitia mikoa wa kaskazini ya China.

Mto huo una beseni la km2 557,180[1] [2] ukibeba 2,463 za maji kila sekunde.[3]

Songhua inapita katika tambarare ya China kaskazini iliyo na mtelemko mdogo sana na hivyo njia ya mto ni ya kupindapinda ukiacha mahali penye maziwa madogo kama mabaki ya njia zake za awali.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. ), National Geographic Society (U.S (2008). National Geographic Atlas of China, p. 36. ISBN 9781426201363. {{cite book}}: |last= has numeric name (help)
  2. [http://web.archive.org/20190907213106/http://www.riversnetwork.org/rbo/index.php/river-blogs/north-asia/item/4614-amur-river-basin-watersheds-map Archived 7 Septemba 2019 at the Wayback Machine. Amur river basin at Rivers Network
  3. National Conditions: Main Rivers accessed October 21, 2010.
Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Songhua kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

46°52′05″N 130°27′47″E / 46.86806°N 130.46306°E / 46.86806; 130.46306