Harbin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Harbin
Harbin
Faili:Flag of .png
Bendera
Nchi China
Jimbo Heilongjiang
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 4,754,753
Tovuti:  www.harbin.gov.cn

Harbin (kwa Kichina: 哈尔滨) ni mji wa China. Ndio mji mkuu wa jimbo la Heilongjiang.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, kuna wakazi wapatao milioni 9.9 wanaoishi katika mji huu.

Mji uko mita 150 juu ya usawa wa bahari.

Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Harbin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.