Ibilisi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Iblisi (kwa Kigiriki diabolos) ni jina linalomaanisha "Mtapitapi" "Mpinzani"; "Mshtaki" - sawa na Shetani. Neno hili hutumika mara 35 katika Agano Jipya.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]