Dorothy Hodgkin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tuzo Nobel.png
Dorothy Hodgkin

Dorothy Mary Crowfoot Hodgkin (12 Mei 191029 Julai 1994) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza mfumo wa misombo mbalimbali, kwa mfano vitamini B12. Mwaka wa 1964 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dorothy Hodgkin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.