Mchai
Jump to navigation
Jump to search
Mchai (Camellia sinensis) | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() Majani ya mchai
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Mchai (Camellia sinensis) ni kichaka ambacho majani, na pengine matawi, yake hutumika kutengeneza chai. Spishi hii inatoka Asia ya Mashariki, ya Kusini-Mashariki na ya Kusini, lakini sikuhizi hupandwa mahali pengi pa kanda tropiki na nusutropiki.
Picha[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mchai kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |