George Marshall
Mandhari
George Catlett Marshall (31 Desemba, 1880 hadi 16 Oktoba, 1959) alikuwa mwanasiasa na jenerali kutoka nchi ya Marekani. Hasa amejulikana kwa kazi yake ya kijeshi katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Kuanzia Septemba 1950 hadi Septemba 1951 alikuwa Waziri wa Ulinzi katika serikali ya Rais Harry Truman. Mwaka wa 1953 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu George Marshall kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |