Nenda kwa yaliyomo

Corazon Aquino

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Corazon Aquino.

María Corazón Sumulong Cojuangco-Aquino (25 Januari 19331 Agosti 2009) anafahamika zaidi kwa jina la Cory Aquino, alikuwa Rais wa 11 kwa nchi ya Ufilipino, ambaye alitumikia taifa hilo tangu mwaka wa 1986 hadi 1992. Aquino, ndiyo mwanamke wa kwanza kuwa Rais kwa nchi ya Ufilipino na ni wa kwanza kwa nchi za Asia.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Corazon Aquino kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.