Hondohondo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Hondohondo
Hondohondo rangi-mbili
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Bucerotiformes (Ndege kama hondohondo)
Familia: Bucerotidae (Ndege walio na mnasaba na hondohondo)
Jenasi: Aceros Hodgson, 1844

Anorrhinus Reichenbach, 1849
Anthracoceros Reichenbach, 1849
Berenicornis Bonaparte, 1850
Buceros Linnaeus, 1758
Bycanistes Cabanis & Heine, 1860
Ceratogymna Bonaparte, 1854
Ocyceros Hume, 1873
Penelopides Reichenbach, 1849
Rhinoplax Gloger, 1841
Rhyticeros Reichenbach, 1849
Tockus Lesson, 1830
Tropicranus W.L. Sclater, 1922

Spishi: Angalia katiba

Hondohondo (pia hondo) ni ndege wakubwa wa familia Bucerotidae. Spishi ndogo zinaitwa fimbi kwa kawaida. Wana domo kubwa na lile la spishi nyingi lina aina ya pembe juu lake. Domo linaweza kuwa jeusi, jeupe, jekundu au njano. Ndege hawa hula matunda, wadudu na wanyama wadogo. Spishi za msitu hula matunda hasa na zile za nyika hula wadudu na wanyama zaidi.

Jike wa hondohondo huyataga mayai 2-6 katika tundu ya mti au pengine katika tundu ya kigong'ota au zuwakulu. Dume afunga mwingilio wa tundu kwa matope, mavi na nyama ya matunda. Awaletea jike na makinda chakula.

Spishi za Afrika[hariri | hariri chanzo]

Spishi za mabara mengine[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]