Nenda kwa yaliyomo

Kinepali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinepali ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Nepal, Uhindi na Bhutan inayozungumzwa na Wanepali. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kinepali nchini Nepal imehesabiwa kuwa watu 12,300,000. Pia kuna wasemaji 2,870,000 nchini Uhindi (2001) na 156,000 nchini Bhutan (2006). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinepali iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinepali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.