Daniel Ortega

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Daniel Ortega


Aliingia ofisini 
10 Januari 2007
Makamu wa Rais Jaime Morales Carazo
Omar Halleslevens
Muda wa Utawala
10 Januari 1985 – 25 Aprili 1990
Makamu wa Rais Sergio Ramírez Mercado
aliyemfuata Violeta Chamorro
Muda wa Utawala
18 Julai 1979 – 10 Januari 1985
mtangulizi Francisco Urcuyo (Rais wa mpito)
aliyemfuata Yeye mwenyewe(Rais)

tarehe ya kuzaliwa 11 Novemba 1945 (1945-11-11) (umri 78)
La Libertad, Nicaragua
jina ya kuzaliwa José Daniel Ortega Saavedra
chama Sandinista National Liberation Front
ndoa Rosario Murillo (1979–hadi sasa)
dini Romani katoliki

Jose Daniel Ortega Saavedra (amezaliwa 11 Novemba 1945) ni mwanasiasa wa Nikaragua. Ni rais wa Nikaragua tokea mwaka 2007[1]. Pia alitumikia kama rais kuanzia mwaka 1979 mpaka 1990. Mnamo Novemba 2021, Daniel Ortega, alichaguliwa tena kwa muhula wa nne wa miaka mitano na 75% ya kura, kulingana na matokeo rasmi ya kwanza yaliyotolewa na Baraza Kuu la Uchaguzi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Ortega wins Nicaragua's election,BBC News, 8 Novemba 2006