Nenda kwa yaliyomo

Uma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nyuma za aina mbalimbali.

Uma (wingi: "nyuma"; kutoka kitenzi "kuuma") ni kifaa cha mezani ambacho kinatumika kwa ajili ya kula vyakula mbalimbali.

Chombo hicho kinatumiwa sana na watu wa nchi za Ulaya na Amerika.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uma kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.