Nenda kwa yaliyomo

Manama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Jiji la Manama
Nchi Bahrain
Mahali pa Manama nchini Bahrain
Kitovu cha mji wa Manama

Manama ni mji mkuu wa Bahrain pia mji mkubwa wa nchi mwenye wakazi 150.000. Iko katika kaskazini ya nchi ambako kuna ardhi yenye rutba kiasi tofauti na jangwa tupu katika kusini.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Manama imejulikana tangu karne ya 14 ilipotajwa katika maandiko. Ilitawaliwa na Ureno katii ya 1521 hadi 1602, na Uajemi kati ya 1602 hadi 1783. Baadaye imekuwa makao ya familia ya kifalme ya Al-Khalifa inayotawala nchi. Tangu 1971 imekuwa mji mkuu wa Bahrain.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Manama kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: