Nadine Gordimer
Jump to navigation
Jump to search
Nadine Gordimer | |
Amezaliwa | 20 Novemba 1923 Afrika Kusini |
---|---|
Nchi | Afrika Kusini |
Kazi yake | Mwandishi |
Ndoa | Gerald Gavron (1949-?; waliwachana; mtoto 1) Reinhold Cassirer (1954-2001; mtoto 1) |
Nadine Gordimer (amezaliwa 20 Novemba 1923) ni mwandishi kutoka nchi ya Afrika Kusini. Hasa aliandika riwaya dhidi ya siasa ya ubaguzi ya rangi (yaani apartheid), na kuonyesha uharibifu katika maisha ya Waafrika. Mwaka wa 1991 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Angalia pia[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
![]() |
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nadine Gordimer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |