Herman Hollerith

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Herman Hollerith
Herman Hollerith

Herman Hollerith (Februari 29, 1860 - Novemba 17, 1929) alikuwa mwanafizikia na mvumbuzi wa Marekani.

Alianzisha tabuleta (kifaa cha kupanga majedwali) ya mitambo kulingana na kadi zilizopigwa. Ndiye aliyekuwa mwanzilishi wa Tabulating Machine Company ambayo baadaye ikawa IBM.

Hollerith ni baba wa uendeshaji wa data ya kisasa. Kuanza kwa mifumo ya uendeshaji wa data moja kwa moja ilikuja na uvumbuzi wake. Programu na data ziliwekwa kwenye kompyuta katika miaka ya 1950 na miaka ya 1960.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Herman Hollerith kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.