Dawa ya famasia
Dawa ya famasia (kwa Kiingereza pharmaceutical, medicament au drug) ni dawa inayotumika kwa upimaji, tiba na kinga ya maradhi.[1][2][3]
Namna ya kutumia dawa (kwa Kiingereza pharmacotherapy) ni sehemu muhimu ya uganga wa kisayansi na inategemea fani ya utengenezaji wa dawa (pharmacology) kwa ajili ya ustawi wa mfululizo na inategemea ufamasia kwa matumizi ya kufaa.
Dawa hizo zinaainishwa namna mbalimbali, kama vile kulingana na mtaalamu gani anaweza kuziagiza kwa mgonjwa, au kulingana na asili ya dawa, au kulingana na lengo la tiba. Shirika la Afya Duniani lina orodha ya dawa muhimu zinazotarajiwa kupatikana kokote.
Utengenezaji wa dawa unahitaji kazi na gharama kubwa ambazo kwa kawaida ni juu ya wanasayansi na kampuni za kifamasia. Kwa kawaida serikali inaratibu biashara ya dawa.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Definition and classification of Drug or Pharmaceutical Regulatory aspects of drug approval Ilihifadhiwa 22 Julai 2017 kwenye Wayback Machine. Accessed 30 December 2013.
- ↑ US Federal Food, Drug, and Cosmetic Act, SEC. 210., (g)(1)(B). Ilihifadhiwa 12 Mei 2009 kwenye Wayback Machine. Accessed 17 August 2008.
- ↑ Directive 2004/27/EC of the European Parliament and of the Council of 31 March 2004 amending Directive 2001/83/EC on the Community code relating to [[Medicine|medicinal products for human use. Article 1.] Published 31 March 2004. Accessed 17 August 2008.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- WHO Model List of Essential Medicines
- Medicines in Development | PhRMA
- Informations and Leaflets of approved pharmaceutical drugs | Diagnosia Ilihifadhiwa 13 Novemba 2016 kwenye Wayback Machine.
- SuperCYP: Database for Drug-Cytochrome- and Drug-Drug-interactions Ilihifadhiwa 3 Novemba 2011 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dawa ya famasia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |