Bruce Springsteen
Mandhari
Bruce Frederick Joseph Springsteen (amezaliwa tar. 23 Septemba 1949) ni mtunzi wa nyimbo, mwimbaji na mpigaji gitaa wa Kimarekani. Amefaya rekodi nyingi tu, na huwa anafanya safari za kimuziki akiwa pamoja na bendi yake ya muziki iitwayo E Street Band.
Muziki
[hariri | hariri chanzo]Albamu na chati iliyoshika (US Billboard 200):
- 1973: Greetings from Asbury Park, N.J. (#60)
- 1973: The Wild, the Innocent & the E Street Shuffle (#59)
- 1975: Born to Run (#3) (#1 in Record World)
- 1978: Darkness on the Edge of Town (#5)
- 1980: The River (#1)
- 1982: Nebraska (#3)
- 1984: Born in the U.S.A. (#1)
- 1987: Tunnel of Love (#1)
- 1992: Human Touch (#2)
- 1992: Lucky Town (#3)
- 1995: The Ghost of Tom Joad (#11)
- 2002: The Rising (#1)
- 2005: Devils & Dust (#1)
- 2006: We Shall Overcome: The Seeger Sessions (#3)
- 2007: Magic (#1)
- 2009: Working on a Dream (#1)
- 2012: Wrecking Ball
- 2014: High Hopes
- 2019: Western Stars
- 2020: Letter to You
- 2022: Only the Strong Survive
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Bruce Springsteen - official website
- Backstreets.com - semi-official fan site
- Brucebase Ilihifadhiwa 25 Agosti 2006 kwenye Wayback Machine. - Online reference about live performances and studio sessions
- Springsteen Lyrics - large archive of Springsteen compositions and covers: several versions and detailed info for each song
- The Killing Floor database - Setlists, lyrics, band histories, and collecting guide
- Bruce Springsteen at the Internet Movie Database
- Bruce Springsteen at the Notable Names Database
- Bruce Springsteen Ilihifadhiwa 6 Machi 2008 kwenye Wayback Machine. official Shore Fire Media publicity site
- Bruce Springsteen Ilihifadhiwa 30 Desemba 2007 kwenye Wayback Machine. at Rolling Stone
- Bruce Springsteen Ilihifadhiwa 20 Juni 2012 kwenye Wayback Machine. at MTV
- Bruce Springsteen katika All Music Guide
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bruce Springsteen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |