Umande

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Tone la umande juu ya jani la mchikichi.
Matone ya umande juu ya jani.

Umande (pia: unyevu, ukungu; kwa Kiingereza: dew) ni maji yaliyo katika mfumo wa vijitone vionekanavyo juu ya vitu, hasa mimea, wakati wa asubuhi kutokana na utoneshaji na baridi.

Science-symbol-2.svg Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Umande kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.