Kinyegere

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kinyegere
Kinyegere Milia (Mephitis mephitis)
Kinyegere Milia (Mephitis mephitis)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele)
Nusungeli: Eutheria
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Caniformia (Wanyama kama mbwa)
Familia: Mephitidae (Wanyama walio na mnasaba na kinyegere)

Kinyegere na Nyegere-vunde (jina la kisayansi: Mephitidae) ni mnyama mdogo mweusi na mweupe wa Amerika na Indonesia.

Familia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyegere kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.