Vladimir Vernadsky

Volodymyr Ivanovych Vernadsky (alizaliwa 12 Machi 1863 - 6 Januari 1945) alikuwa mwanakemia[1][2][3] wa Urusi,[4] na mwanakemia wa madini na mwanajiolojia wa Soviet ambaye anachukuliwa kuwa mmoja wa waanzilishi wa geochemistry, biogeochemistry, na radiogeology. Pia anajulikana kama mwanzilishi wa Chuo cha Sayansi huko Ukraina[5][6] (kwasasa kinajulikana kama Chuo Kikuu cha Taifa cha Sayansi cha Ukraina).[7] Amejulikana sana kwa kitabu chake cha 1926 The Biosphere. Ambapo alifanya kazi ya kueneza neno la Eduard Suess la 1885 kuwa maisha ni nguvu ya jiolojia inayoiunda dunia. Mwaka wa 1943, alipokea Tuzo ya Stalin.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Володимир Вернадський– найвидатніший природознавець ХХ століття Archived 4 Agosti 2020 at the Wayback Machine. tr. Volodymyr Vernadsky – The Most Familiar Nature of the XX Century at dspace.snu.edu.ua:8080, accessed 12 October 2020
- ↑ Vladimir Ivanovich Vernadsky (en-GB). Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-01-14. Iliwekwa mnamo 2022-03-08.
- ↑ Honoring Vladimir Vernadsky: Russian-Ukrainian Scientist's 150th Year Wraps Up (2015-02-03). Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-02-03. Iliwekwa mnamo 2022-03-08.
- ↑ Большая российская энциклопедия: ВЕРНА́ДСКИЙ. Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-04-16. Iliwekwa mnamo 2022-03-08.
- ↑ Honoring Vladimir Vernadsky: Russian-Ukrainian Scientist's 150th Year Wraps Up. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-02-03. Iliwekwa mnamo 2022-03-08.
- ↑ Верна́дський Володи́мир Іва́нович Archived 1 Agosti 2017 at the Wayback Machine.. Універсальний Словник-Енциклопедія
- ↑ Samson, Paul R. (1999). The Biosphere and Noosphere Reader: Global Environment, Society, and Change. London: Routledge. ISBN 978-0-415-16644-7.
![]() |
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vladimir Vernadsky kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |