Mwaramoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mwaramoni
(Castanea spp.)
Mwaramoni
Mwaramoni
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Planta (mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Fagales (Mimea kama mwaramoni)
Familia: Fagaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mwaramoni)
Jenasi: Castanea
Mill.
Ngazi za chini

Spishi 8

Miaramoni ni miti mikubwa wa jenasi Castanea katika familia Fagaceae. Matunda, yanayoitwa maramoni, yana rangi ya kahawianyekundu au aramoni na hugubikwa na gamba lenye miiba mingi (kupula kwa kisayansi). Maramoni hupikwa au huchomwa kabla ya kokwa yao haijaliwa.

Spishi[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]