Warren Buffett

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Warren Edward Buffett

Warren Edward Buffett (amezaliwa 30 Agosti 1930) ni mfanyabiashara kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana hasa kwa ajili ya falsafa yake ya ukarimu.

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Warren Buffett kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.