Ward Cunningham

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ward Cunningham

Howard G. "Ward" Cunningham (amezaliwa 26 Mei 1949) ni mgunduzi wa programu ya wiki kutoka nchi ya Marekani. Programu yake ndiyo inayotumika katika miradi mbalimbali ikiwemo mradi wa kamusi elezo hii.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ward Cunningham kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.