PHP

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
PHP
PHP-logo
Shina la studio namna : namna ya utaratibu

inaozingatiwa kuhusu kipengee

namna nyingi

Imeanzishwa Januari 1 1994 (1994-01-01) (umri 30)
Mwanzilishi Rasmus Lerdorf
Ilivyo sasa Ilivutwa na: Perl, C, C++, Java, Tcl, JavaScript, Hack

Ilivuta: Hack

Mahala The PHP Development Team, Zend Technologies
Tovuti https://www.php.net

PHP ni lugha ya programu. Iliundwa na Rasmus Lerdorf na ilianzishwa tarehe 1 Januari 1994. Iliundwa ili kuumba tovuti kama Facebook au Wikipedia. Leo tunatumia PHP 8.0.0. Ilivutwa na C.

Inaitwa PHP, kifupi cha maneno "Hypertext Preprocessor"

Historia[hariri | hariri chanzo]

Ilianzishwa 1 Januari 1994 nchini Marekani, lakini Rasmus Lerdorf alianza kufanya kazi kuhusu PHP mwaka wa 1993.

Falsafa[hariri | hariri chanzo]

Namna ya PHP ni namna ya utaratibu, namna nyingi na inaozingatiwa kuhusu kipengee.

Sintaksia[hariri | hariri chanzo]

Sintaksia ya PHP ni ngumu sana kinyume cha lugha za programu nyingine kama JavaScript, Python au Ruby. Ilivutwa na sintaksia ya C++, lugha ya programu nyingine.

Mifano ya PHP[hariri | hariri chanzo]

Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».

<!DOCTYPE html>
<html>
 <head>
 <title>PHP programu "Jambo ulimwengu !"</title>
 </head>
 <body>
 <?php echo '<p>Jambo ulimwengu !</p>'; ?>
 </body>
</html>

Programu kwa kupata factoria ya namba moja.

  <html> 
  <head> 
  <title>Programu kwa kupata factoria</title> 
  </head> 
  <body> 
  <form method="post"> 
    Ingia namba:<br> 
    <input type="number" name="number" id="number"> 
    <input type="submit" name="submit" value="Submit" /> 
  </form> 
  <?php  
    if($_POST){ 
      $fact = 1; 
      //getting value from input text box 'number' 
      $number = $_POST['number']; 
      echo "Factoria ya $number:<br><br>"; 
      //start loop 
      for ($i = 1; $i <= $number; $i++){     
        $fact = $fact * $i; 
        } 
        echo $fact . "<br>"; 
    } 
  ?> 
  </body> 
  </html>

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 • Luke Welling, Laura Thomson, PHP and MySQL Web development, Sams Publishing, 2008, 4e éd. (ISBN 0-672-32916-6, OCLC 854795897)
 • Damien Seguy, Philippe Gamache, Sécurité PHP 5 et MySQL, 3e édition, Eyrolles, 1er décembre 2011, 277 p. (ISBN 2-212-13339-1)
 • Jean Engels PHP 5 Cours et Exercices, 3e édition, Eyrolles 2013, 631 pages (ISBN 978-2-212-13725-5)