Python (Lugha ya programu)
Python | |
---|---|
![]() | |
Shina la studio | namna : namna ya utaratibu
inaozingatiwa kuhusu kipengee namna nyingi |
Imeanzishwa | Februari 20 1991 |
Mwanzilishi | Guido van Rossum |
Ilivyo sasa | Ilivutwa na: ABC, Ada, ALGOL 68, APL, C, C++, CLU, Dylan, Haskell, Icon, Java, Lisp, Modula-3, Perl, Standard ML
Ilivuta: Apache Groovy, Boo, Cobra, CoffeeScript, D, F#, Genie, Go, JavaScript, Julia, Nim, Ring, Ruby, Swift |
Mahala | Python Software Foundation License |
Tovuti | https://www.python.org |
Python ni lugha ya programu ambayo iliundwa na Guido van Rossum na ilianzishwa tarehe 20 Februari 1991. Leo tunatumia Python 3.0.
Historia[hariri | hariri chanzo]
Ilianzishwa 20 Februari 1991 nchini Marekani. Lakini Guido Van Rossum alianza kufanya kazi pekee yangu kuhusu Python mwaka wa 1988.
Falsafa[hariri | hariri chanzo]
Namna ya Python ni namna ya utaratibu na inaozingatiwa kuhusu kipengee kinyume cha lugha za programu nyingi.
Sintaksia[hariri | hariri chanzo]
Sintaksia ya Python ni rahisi sana kinyume cha lugha za programu nyingine kama Java, C sharp au C++. Python Ilivutwa na sintaksia ya Ada, lugha ya programu nyingine.
Mfano wa programu ya Python[hariri | hariri chanzo]
Programu kwa kuchapa "Jambo ulimwengu !".
print('Jambo ulimwengu !')
Programu kwa kuhesabu factoria ya nambari moja.
n = int(input('Andika nambari moja, kisha factoria yake itachapwa : '))
if n < 0:
raise ValueError('Lazima andika nambari hasi')
fact = 1
i = 2
while i <= n:
fact = fact * i
i += 1
print(fact)
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Downey, Allen B. (May 2012). Think Python: How to Think Like a Computer Scientist (Version 1.6.6 ed.). ISBN 978-0-521-72596-5.
- Hamilton, Naomi (5 August 2008). "The A-Z of Programming Languages: Python". Computerworld. Archived from the original on 29 December 2008. Retrieved 31 March 2010.
- Lutz, Mark (2013). Learning Python (5th ed.). O'Reilly Media. ISBN 978-0-596-15806-4.
- Pilgrim, Mark (2004). Dive Into Python. Apress. ISBN 978-1-59059-356-1.
- Pilgrim, Mark (2009). Dive Into Python 3. Apress. ISBN 978-1-4302-2415-0.
- Summerfield, Mark (2009). Programming in Python 3 (2nd ed.). Addison-Wesley Professional. ISBN 978-0-321-68056-3.